GMCL MICROFINANCE
HUDUMA ZETU

Mikopo kwa Watumishi wa Umma na Sekta Binafsi

 Vigezo na Masharti ya kuzingatiwa

  • Hati za mishahara za kipindi cha miezi mitatu (3) iliyopita kutoka tarehe ya kuwasilisha maombi ya mkopo
  • Kitambulisho halali kinachotambulika kisheria; NIDA, Leseni na kitambulisho cha kazi
  • Mdhamini

Mkopo kwa Wajasiriamali

Vigezo na Masharti ya Kuzingatia

  • Biashara

  • Leseni ya Biashara

  • Dhamana

  • Fomu iliyopitishwa na Mamlaka ya Serikali ya Mtaa

  • Mdhamini mwenye makazi ya kudumu