Same, 2550000000
WhatsApp

Huduma Zechu

Suluhisho za Kifedha kwa Kila Hitaji

Tunatoa huduma mbalimbali za mikopo zilizoundwa kusaidia ukuaji wa biashara yako na kutatua dharura za kifedha kwa haraka.

Mkopo wa Biashara
GMCL Huduma

Mkopo wa Biashara

Tunawawezesha wafanyabiashara wadogo na wa kati kupata mitaji ya kukuza biashara zao kwa masharti nafuu na huduma za haraka.

Omba Sasa →
Mikopo ya Maendeleo
GMCL Huduma

Mikopo ya Maendeleo

Pata msaada wa kifedha kwa ajili ya maendeleo binafsi, familia, au miradi ya kijamii kwa urahisi na usalama.

Omba Sasa →

Jinsi ya Kupata Huduma

1

Maombi

Tuma maombi kupitia tawi

2

Uhakiki

Tunahakiki ndani ya saa 24

3

Idhini

Mkopo unaidhinishwa

4

Mkataba

Saini makubaliano

5

Malipo

Fedha inaingizwa kwenye simu/akaunti